Matokeo ya Usaili wa Mahojiano TRA

Matokeo ya Usaili wa Mahojiano TRA Walioitwa kazini TRA

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Mahojiano TRA Mtakumbuka kwamba Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ilitangaza nafasi za kazi zipatazo 1,596 mwanzoni mwa mwezi wa Februari 2025, ambapo ilipokea jumla ya maombi ya kazi 135,027 kati yao 113,023 waliitwa kwenye usaili wa mchujo wa kuandika baada ya kukidhi vigezo na usaili huo uliofanyika tarehe 29 na 30 Machi, 2025. Wasailiwa waliofanikiwa kwenye usaili wa kuandika waliitwa kwenye usaili wa mahojiano uliofanyika tarehe 12 hadi 14 Mei, 2025, ambapo wasailiwa 6,325 walifanya usaili huo.

Angalia hapa matokeo.
Matokeo ya Usaili wa Mahojiano TRA
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom