Haya hayamatokeo ya usaili wa vitendo dereva Daraja la II Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.
Pakua PDF hapa.
Pakua PDF hapa.
Kuitwa kwenye interview Uhamiaji Tarehe 09 Februari 2026
Immigration PDF