Haya hapa Matokeo ya Usaili wa vitendo mamlaka ya serikali ntandao (eGA), Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho. BONYEZA HAPA KUPAKUA PDF