Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Vitendo UDSM, TMA December 2024 kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma. Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili, Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao.
- ARTISAN II - CARPENTRY
- ARTISAN II (PLUMBING)
- SECURITY GUARD II
- TECHNICIAN II (TELECOMMUNICATION)
- WORKSHOP ASSISTANT II – (ELECTRICAL)