Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na mabadiliko ya uongozi katika baraza la mawaziri, akiwapa nafasi mpya viongozi mbalimbali.
Aidha, Rais Samia amefanya mabadiliko zaidi:
- Jerry Silaa ameteuliwa kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
- Dkt. Damas Ndumbaro amepewa nafasi ya Waziri wa Katiba na Sheria.
- Mhandisi Hamad Masauni ameteuliwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira.
Aidha, Rais Samia amefanya mabadiliko zaidi:
- Dkt. Ashatu Kijaji sasa ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi.
- Abdallah Ulega ameteuliwa kuwa Waziri wa Ujenzi.
- Innocent Bashungwa amepewa jukumu la Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.