Rais Samia afumua Baraza la Mawaziri, agusa Jeshi la Polisi

Rais Samia afumua Baraza la Mawaziri, agusa Jeshi la Polisi

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026

Sia

Moderator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 20, 2024
Messages
1,648
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na mabadiliko ya uongozi katika baraza la mawaziri, akiwapa nafasi mpya viongozi mbalimbali.
  • Jerry Silaa ameteuliwa kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
  • Dkt. Damas Ndumbaro amepewa nafasi ya Waziri wa Katiba na Sheria.
  • Mhandisi Hamad Masauni ameteuliwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira.
Rais Samia afumua Baraza la Mawaziri, agusa Jeshi la Polisi

Aidha, Rais Samia amefanya mabadiliko zaidi:
  • Dkt. Ashatu Kijaji sasa ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi.
  • Abdallah Ulega ameteuliwa kuwa Waziri wa Ujenzi.
  • Innocent Bashungwa amepewa jukumu la Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mabadiliko haya yana lengo la kuimarisha utendaji wa serikali na kuendeleza maendeleo ya nchi.
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom