Haya hapa matokeo ya usaili wa vitendo uliofanyika 21/03/2025, Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho BONYEZA HAPA KUANGALIA MATOKEO YOTE
Usaili wa Ajira TRA 2025
Taarifa kwa Umma