MBASHARA: WAZIRI MCHENGERWA AKITANGAZA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2025
Hakutakuwa na chaguo la pili kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.
Ufaulu ni kuanzia alama 121 hadi 300
Kuangalia selection za kidato cha kwanza (Form one), Tembelea tovuti ya Tamisemi hapa
Kama hujaona jina la mwanao tunaomba twambie hapo chini.
Ufaulu ni kuanzia alama 121 hadi 300
Kuangalia selection za kidato cha kwanza (Form one), Tembelea tovuti ya Tamisemi hapa
Kama hujaona jina la mwanao tunaomba twambie hapo chini.