Leo mwanamziki anaejulikana kwa jina la Mbosso kutoka katika label ya WCB Wasafi ameachia nyimbo mpya inayokwenda kwa jina la "Kupenda" kaisikilize sasa kisha twambie hapa kapatia kama kawaida yake au kazingua.
Kupenda Mbosso sikiliza hapa chini
Kupenda Mbosso sikiliza hapa chini