mchanganuo wa vituo vya usaili tarehe 25 aprili 2025. Waombaji kazi wote wa kada ya Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II (Records Management Assistant) waliopangwa kufanya usaili kanda ya Dar es salaam mnajulishwa kuwa mnapaswa kuzingatia vituo vya usaili kwa mpangilio wa majina uliopo kwenye kiambatisho hapo chini.
Kwa kiambatisho kilichopo kwenye tangazo hili, wasailiwa kuanzia serial number 1 hadi 1000 watafanya usaili kituo cha JKT MGULANI.
Wasailiwa kuanzia serial number 1001 hadi 2000 watafanya usaili kituo cha KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY IN TANZANIA-GONGO LA MBOTO na;
Wasailiwa kuanzia serial number 2001 hadi 2540 watafasnya usaili kituo cha TUMAINI UNIVERSITY DAR ES SALAAM.
Angalia hapa.

VITUO VYA USAILI WA KUANDIKA KWA KANDA TAREHE 25 APRILI, 2025
UTUMISHI/AJIRAPORTAL
Orodha/Majina ya walioitwa kwenye usaili Zimamoto Aprili 2025
ajira.zimamoto.go.tz
Last edited: