MCHANGANUO WA VITUO VYA USAILI KWA WAOMBAJI KAZI WA KADA YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II) DAR ES SALAAM

MCHANGANUO WA VITUO VYA USAILI KWA WAOMBAJI KAZI WA KADA YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II) DAR ES SALAAM AJIRAPORTAL/UTUMISHI

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
mchanganuo wa vituo vya usaili tarehe 25 aprili 2025. Waombaji kazi wote wa kada ya Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II (Records Management Assistant) waliopangwa kufanya usaili kanda ya Dar es salaam mnajulishwa kuwa mnapaswa kuzingatia vituo vya usaili kwa mpangilio wa majina uliopo kwenye kiambatisho hapo chini.

Kwa kiambatisho kilichopo kwenye tangazo hili, wasailiwa kuanzia serial number 1 hadi 1000 watafanya usaili kituo cha JKT MGULANI.

Wasailiwa kuanzia serial number 1001 hadi 2000 watafanya usaili kituo cha KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY IN TANZANIA-GONGO LA MBOTO na;

Wasailiwa kuanzia serial number 2001 hadi 2540 watafasnya usaili kituo cha TUMAINI UNIVERSITY DAR ES SALAAM.

Angalia hapa.
MCHANGANUO WA VITUO VYA USAILI KWA WAOMBAJI KAZI WA KADA YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II) DAR ES SALAAM
 
Last edited:
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom