Mchezo Umetamatika: Dodoma Jiji 3 vs 1 Mashujaa Fc

Mchezo Umetamatika: Dodoma Jiji 3 vs 1 Mashujaa Fc

Revoo

Member

Reputation: 19%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
169
Mchezo wa Dodoma Jiji kutoka Dodoma Dhidi ya Mashujaa Fc kutoka Kigoma umemalizika Kwa Dodoma Jiji kuibuka na Ushindi wa Goli 3 Dhidi ya Goli 1 la Mashujaa, Magoli ya Dodoma Jiji yalifungwa na Mwana kibuta dakika ya 12, Lulihoshi Herietier dakika ya 16 na la mwisho katika dakika ya 83 likifungwa na Zidane sereri huku bao pekee la Mashujaa Fc likifungwa na Crispin Ngush katika dakika ya 90.
20241228_204338.webp
 
Back
Top Bottom