- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 160
Performance bora kutoka kwa kipa Wa JKT,Yakoub Suleiman
Kipindi cha kwanza amefanya saves Za kutosha ila ile ya kichwa cha Ateba inaweza kuwa Save bora ya mwaka.
Jamaa yuko active Muda wote,anasoma vizuri movement Za Wachezaji Wa Simba kabla hawajapiga.
Simba iliwabidi kutumia njia mbadala ya kupenya mbele ya huyu kipa.
JKT na mikakati sahihi , Nafikiri kila kitu walikifanya kwa usahihi hasa wasipokuwa na mpira (Low Block …. tena wakiwa karibu karibu sana wanazuia wakiwa ndani zaidi dhumuni ni kuwanyima nafasi namba 10 watatu wa Simba “Chasambi , Awesu na Mpanzu” .
Dhumuni la Simba kucheza wakiwa ndani sana ni kuacha nafasi pembeni kwa Fullbacks wao kutengeneza 1 Vs 1 na FBs wa JKT , lakini pasi zao mwisho hazikuwa nzuri na JKT walikuwa wa kwanza kucheza wao (Mipira ya juu na Second balls ) kulikuwa hakuna njia kwa Simba eneo la katikati .
Wilson Nangu “Yule ni mtu haswa …. Amekabiliana vizuri na Ateba + Mipira yote alicheza yeye wa kwanza …. Viungo wa Simba wanakaa sana na mali .
..
Kwenye Takwimu JKT ndio timu ya nne kuruhusu magoli machache mpaka sasa NBCPL !.. ukiwatoa Simba , Yanga na Azam wanafatia JKT ndio tulichoshuudia leo “COMPACTS” ….. Simba hawakutengeneza nafasi nyingi ambazo zilikuwa Clear .
JKT walianza game wakiwa na mikakati sahihi bila mpira wanazuia kwenye “Low Blocks” then wanaunda mashambulizi kwa kushtukiza (Counter Attacks) …. Plan yao ya kwanza ilifanikiwa kuzuia kwanza tena wakiwa chini .
1 : JKT walikabiliana vizuri na mipira yote ya juu (Aerial Balls) na walikuwa wa kwanza kucheza mipira ya pili (Seconds Balls) ndio maana hakukuwa na nafasi yeyote ambayo ni clear chance ukiachana na ile ya Ateba kipindi cha pili ….. Walinzi wa JKT walikuwa bora sana .
2 : Simba hawakupata nafasi kubwa kwenye mpira hasa kupitia katikati (Blocks ya vijana wa Ahmed Ally bora ) wachezaji wa JKT walizuia vizuri sana , hakuna nafasi kati ya viungo na walinzi wao : walichokifanya JKT ni kuacha nafasi pembeni ya uwanja then Simba walitumia cross sana lakini walinzi wa JKT wanakuwa wa kwanza kucheza mipira hiyo .
Simba walitengeneza idadi nzuri ya wachezaji pembeni ya uwanja (Wings wanaingia ndani kuwalazimisha FBs wa JKT kuzuia wakiwa ndani then FBs wa Simba wanashambulia mapana ya uwanja mda mwingi walitumia cross kushambulia box la mpinzani lakini JKT walikuwa wa kwanza kucheza mipira mingi.
NOTE :
Ahmed Ally ametoa funzo jinsi gani ya kuzuia : wamezuia vizuri sana
Wilson Nangu “What a player” amekuwa mtu muhimu kwa JKT kucheza mipira ya juu
Yule golikipa wa JKT kacheza game bora sana : Saves after saves
Jean Charles Ahoua kwenye numbers
Ni clear Penalty
FT: Simba 1-0 JKT Tanzania
️ Ahoua (P) 90+5