- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 169
Yanga walianza mechi vizuri sana : umiliki wa mpira , intensity ya hali ya juu , pressing , walikuwa wanapasiana mpira vizuri sana wakati wanaanza “Build Up” na walitumia sana eneo la katikati kutengeneza nafasi kwasababu Tp Mazembe walikuwa wanazuia wakiwa chini lakini hawakufanya pressing ya kutosha kwa wachezaji wa Yanga ni kama walikuwa watanzamaji hivi .
Yanga walikuwa bora kwenye mapambano yao ya kuwania mipira , walikuwa wanajua mda gani wa kuharakisha pasi na mda gani wa kuwa na utulivu , pia walikuwa na idadi nzuri ya wachezaji wakati wanaenda kushambulia then wanapora mipira katika maeneo sahihi (lile goli la tatu “Turn over” nzuri )
Yanga na 2-1-4-2-1 wakati wanaanza “Build Up” yao , Job na Bacca nyuma then Aucho mbele yao wanatengeneza “Pembe tatu shape” huku Boka na Kibwana wanakuwa pembeni zaidi kumruhusu Mzize na Pacome kuingia ndani kushambulia “Half spaces” (nafasi Kati ya CB na FB wa mazembe) then Yanga wanakuwa na uharaka wa pasi zao + runners wengi eneo la mbele space zikawa zinafunguka kwa Yanga .
Nafikiri Tp Mazembe walikuwa na mikakati sahihi , wasipokuwa na mpira wazuie wakiwa kwenye “Mid block” lakini hawakuweka presha vizuri na walishindwa kukabiliana vizuri na pressing ya Yanga (walipoteza mipira mingi eneo la hatari ) sio kwamba Mazembe hawakupata nafasi ila ufanisi ulikuwa mdogo .
NOTE :
1 : Pacome Zouzoua “Technician” , akiwa na mali mguuni ni ngumu kuchukua…. Ametoa game bora sana .
2 : Clement Mzize alikuwa game bora sana : Two goals
3 : Kibwana anazidi kuboresha game yake good game
4 : Mudathir good game Aucho “Composure”
5 : Zemanga akiwa na mali mguuni ngumu kuichukua
FT: Yanga 3-1 Tp Mazembe
️️ Mzize
️ Aziz Ki
️ Faty