Mfumo wa Maombi ya Ajira Zimamoto Portal 2025/2026

Ajira za Jeshi Mfumo wa Maombi ya Ajira Zimamoto Portal 2025/2026 Zima moto Recruitmen

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi.
Hizi hapa hatua kwa hatua namna ya kutuma maombi, kujisajili, kufungua account, kuweka vyeti, huduma kwa wateja, jinsi ya kuandika cover letter, mfano wa barua ya maombi, mfano wa CV zimamoto, katika Mfumo wa Maombi ya Ajira Zimamoto 2025/2026.
Mfumo wa Maombi ya Ajira Zimamoto Portal 2025/2026


Kwa watumiaji wa simu kawaida, fata maelezo haya kutoka kwenye picha kwa umakini.

Kujisajili Ajira Zimamoto
Kujisajili Ajira Zimamoto


Kufungua account ajira zimamoto
Kufungua account ajira zimamoto



Jinsi ya kutuma maombi ajira zimamoto
Jinsi ya kutuma maombi ajira zimamoto

Baada ya kufata hatua hizo hapo juu kwa usahihi sasa, bonyeza link hiyo hapo chini kuanza kujaza taarifa zako muhimu. kama utashindwa kabisa basi wasiliana nasi kwa msaada zaidi.

Baada ya kumaliza kujaza taarifa zako hakikisha unathibitisha (Verify) Email yako ambayo inatumwa kwako hapo hapo na baada ya kuthibitisha nenda login sasa na utume maombi mapema.
Zimamoto Recruitment thibitisha


Bonyeza hapa kutuma maombi katika mfumo zimamoto

Kwa wanaokutana na changamoto ya "Invalid verification address" ukiona hivyo basi refresh browser yako au clear browser au logout kisha login tena.
 
Last edited:
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom