Huu hapa mpangilio wa vituo na tarehe ya usaili wa vitendo kada ya dereva daraja la II (Driver II) Kuanzia tarehe 23 mei hadi tarehe 17 juni 2025. Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wa kada ya Dereva II wanapaswa kuzingatia vituo na tarehe ya kuafanya usaili kama ilivyoainishwa kwenye viambatisho hapo chini.
Angalia hapa.
www.ajira.go.tz
Angalia hapa.
News Update :: Public Service Recruitment Secretariat
Public Service Recruitment Secretariat / Ofisi ya Raisi katika Utumishi wa Umma

Nafasi za Kazi Feza Schools Tanzania
14-05-2025