Mpango Wa Yanga Sc Kumtoa Baleke Kwa Mkopo Namungo Fc Umeshindikana

Mpango Wa Yanga Sc Kumtoa Baleke Kwa Mkopo Namungo Fc Umeshindikana

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Revoo

Member

Reputation: 22%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
194
Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga Jean Othos Baleke amegoma kwenda kwa mkopo katika klabu ya Namungo Fc na anataka kulipwa chake aondoke Yanga...
FB_IMG_1736505844234.webp

Yanga hawana mpango na nyota huyo wa kimataifa wa DR Congo 🇨🇩 na kinachokwamisha kuvunja mkataba wake ni baadhi ya vipengele vilivyopo kwenye mkataba wake.
 
Back
Top Bottom