- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 169
Klabu ya Simba SC imefanikiwa kumsajili kwenye mfumo wa CAF winga wao mpya Ellie Mpanzu na sasa nyota huyo anaruhusiwa kuichezea Simba kwenye mechi za kombe la shirikisho (CAF Confederation Cup) na ataanza jumapili January 05, dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia mchezo utaochezwa majira ya saa 1:00 usiku kwenye dimba la Taïeb Mhiri.