- Views: 71
- Replies: 1
Habari Admin, Nimekuwa shortlisted Ajira Portal kufanya usaili kada ya Information Officer II (Afisa Habari)
Kwa yeyote mwenye material tunaomba tusaidiane lakni pia kama kuna Group tuungwe ili kubadilishana uzoefu na kama group halipo basi tusaidie kutuunganisha
Natanguliza shukrani