MSAADA

MSAADA

Kwa wale wanaofanya application za askari uhamiaji, Kuna changamoto ya baada ya kulog in Kuna kuwa hamna kitu pale kinakuwa displayed, sasa sijajua hii imekaaje msaada tafadhali....
1. Bonyeza dot 3 juu kulia hapo utaona neno desktop view
2. Bonyeza kwenye desktop view simu na browser yako itakaa kama komputa
3. ukishafanya hivyo endelea sasa itakaa sawa
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom