- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 169
Yanga wameshinda Leo na kufufua matumaini ya kufuzu hatua ya robo fainali Africa CAFCL huku wakishika nafasi ya tatu na alama nne Nyuma ya Mc Alger mwenye alama sawa na Yanga akiwa na michezo Mitatu huku Yanga amecheza michezo minne na kinara Wao ni Al HILAL ambae anaongoza kundi hilo Kwa alama Tisa na michezo Mitatu.