Mudathir Yahya Ni Mali Pale Yanga SC

Mudathir Yahya Ni Mali Pale Yanga SC

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Revoo

Member

Reputation: 22%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
194
Yani kila ukimuangalia Mudathir Yahya unapata picha ya namna Kiungo Chuma anatakiwa kuwa, nazani ndio kiungo bora zaidi wa kati anaweza kuzuia njia za mipira ‘Ball paths’ kwa usahihi sana kutoka kwa mpinzani / actions.
FB_IMG_1736186065998.webp

Ongeza hapo always available uwanjani dah💪🏿 hata Kocha Sead Ramovic anaona jinsi anavyoshida mechi zake baada ya kumpa nafasi Kiungo Chuma ‘Mudathir Yahya’ , then kila mchezaji ambaye utampa acheze naye yeye atapiga nae bila kupunguza ufanisi : ni vile tu baadhi hawafatilii kazi yake uwanjani , lakini kuna kiungo bora bora ndani yake.

Angalia Khalid Aucho akicheza na kiungo mwingine tofauti na Mudathir Yahya ufanisi unakuwa mdogo zaidi , lakini ikiwa Partnership ya Khalid Aucho + Mudathir Yahya kuna bima nzuri sana kwenye kiungo cha Yanga Sc.
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom