Huu hapa mwongozo wa ujazaji Maombi Uhamiaji, Wakati wa kufanya Maombi, Mwombaji anatakiwa kuambatisha (upload) kwenye mfumo wa Ajira nyaraka zilizo katika mfumo wa PDF na picha ya mwombaji (passportsize) katika mfumo wa jpg/png na kila Nyaraka moja isizidi ukubwa wa 300Kb.
Mfumo wa Maombi ya Ajira Uhamiaji Recruitment Portal
e-recruitment PDF