Kutoka sekretarieti ya ajira Kama una nia ya kutuma maombi basi zimetangazwa Nafasi 123 za Ajira Mpya Kutoka Utumishi (PSRS) Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kuwania nafasi za kazi zilizo ainishwa hapa chini kwa watanzania wote wenye sifa.
Ili kuweza kutuma maombi ya kazi utumishi kupitia mfumo wa Ajira Portal basi fata haya maelezo hapa chini hatua kwa hatua:
Nafasi zilizo tangazwa
Nafasi na idadi | Mwisho wa Kutuma Maombi |
---|---|
Mwalimu Msaidizi wa Ufundi – (Mechanics ya Vifaa Vizito) - Nafasi 1 | 2024-10-30 |
Mwalimu wa Ufundi II – (Ufungaji wa Nguvu za Jua) - Nafasi 1 | 2024-10-30 |
Mwalimu Msaidizi wa Ufundi – (Ujenzi wa Barabara) - Nafasi 2 | 2024-10-30 |
Mwalimu Msaidizi wa Ufundi – (Ubunifu, Ushonaji na Teknolojia ya Nguo) - Nafasi 27 | 2024-10-30 |
Mwalimu Msaidizi wa Ufundi – (Matengenezo ya Magari) - Nafasi 1 | 2024-10-30 |
Mwalimu Msaidizi wa Ufundi – (Uchomeleaji na Utengenezaji wa Vyuma) - Nafasi 8 | 2024-10-30 |
Mwalimu Msaidizi wa Ufundi – (Uashi na Uwekaji Matofali) - Nafasi 11 | 2024-10-30 |
Mwalimu Msaidizi wa Ufundi – (Ufundi wa Mabomba) - Nafasi 6 | 2024-10-30 |
Mwalimu Msaidizi wa Ufundi – (Ufungaji wa Umeme) - Nafasi 18 | 2024-10-30 |
Mwalimu Msaidizi wa Ufundi – (Ofisi ya Mbele) - Nafasi 4 | 2024-10-30 |
Mwalimu Msaidizi wa Ufundi – (Utunzaji wa Nyumba) - Nafasi 2 | 2024-10-30 |
Mwalimu Msaidizi wa Ufundi – (Boiler Mechanics) - Nafasi 1 | 2024-10-30 |
Mwalimu Msaidizi wa Ufundi – (Masomo ya Ukatibu) - Nafasi 3 | 2024-10-30 |
Mwalimu Msaidizi wa Ufundi – (Mauzo na Huduma za Vyakula na Vinywaji) - Nafasi 1 | 2024-10-30 |
Mwalimu wa Ufundi II – (Uongozaji wa Watalii) - Nafasi 1 | 2024-10-30 |
Mwalimu wa Ufundi II – (Bidhaa za Ngozi) - Nafasi 1 | 2024-10-30 |
Mwalimu wa Ufundi II – (Sayansi ya Uhandisi) - Nafasi 7 | 2024-10-30 |
Mwalimu wa Ufundi II – (Michoro ya Ufundi) - Nafasi 6 | 2024-10-30 |
Mwalimu wa Ufundi II – (Stadi za Mawasiliano) - Nafasi 7 | 2024-10-30 |
Mwalimu wa Ufundi II – (Msaidizi wa Uendeshaji Biashara) - Nafasi 2 | 2024-10-30 |
Mwalimu wa Ufundi II – (Ufugaji wa Samaki na Usindikaji wa Samaki) - Nafasi 2 | 2024-10-30 |
Mwalimu wa Ufundi II – (Utalii wa Mazingira) - Nafasi 1 | 2024-10-30 |
Mkufunzi wa Ufundi II – (Uhandisi wa Mitambo) - Nafasi 1 | 2024-10-30 |
Mkufunzi wa Ufundi II – (Ubunifu wa Ndani na Mapambo) - Nafasi 1 | 2024-10-30 |
Mkufunzi wa Ufundi II – (Hisabati) - Nafasi 1 | 2024-10-30 |
Mkufunzi wa Ufundi II – (Mauzo na Huduma za Vyakula na Vinywaji) - Nafasi 1 | 2024-10-30 |
Mkufunzi wa Ufundi II – (Teknolojia ya Usindikaji wa Vyakula) - Nafasi 1 | 2024-10-30 |
Mkufunzi wa Ufundi II – (Uhandisi wa Ujenzi) - Nafasi 1 | 2024-10-30 |
Mkufunzi wa Ufundi II – (Sayansi ya Uhandisi) - Nafasi 1 | 2024-10-30 |
Mkufunzi wa Ufundi II – (Stadi za Mawasiliano) - Nafasi 1 | 2024-10-30 |
Mkufunzi wa Ufundi II – (Umeme na Elektroniki) - Nafasi 1 | 2024-10-30 |
Mkufunzi wa Ufundi II – (Uongozaji wa Watalii) - Nafasi 1 | 2024-10-30 |
Jinsi ya kutuma maombi Ajira Portal
Ili kuweza kutuma maombi ya kazi utumishi kupitia mfumo wa Ajira Portal basi fata haya maelezo hapa chini hatua kwa hatua:
- Ingia katika akaunti yako ya ajira portal kwa kuandika portal.ajira.go.tz
- Baada ya kuingia tafta sehemu imeandikwa Vacancies kisha ifungue
- Juu kabisa utaona sehemu imeandikwa search unaweza kutumia kisanduku hicho kutafta nafasi yoyote ile ikiwa imetangazwa, hapa katika hii sehemu kulingana na ajira mpya hizi utatafta kwa kuandika "Elimu"
- Baada ya kuandika Elimu zitakuja nafasi za kazi kwa kada mbalimbali za elimu
- Chagua nafasi ambayo unaona una sifa kulingana na tangazo kisha bonyeza sehemu ya kutuma maombi "Apply"