Hili hapa tangazo la Nafasi 1571: Ajira Mpya za Walimu 2025 Masomo Mbalimbali MDAs & LGAs Tanzania Februari 2025 kwa watanzania wote wenye nia, ari, sifa, vigezo waweze kutuma maombi kujaza ajira mpya hizi zilizo tangazwa siku ya leo kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma.
Bonyeza hapa kutuma maombi sasa
Bonyeza hapa kutuma maombi sasa
Ajira zilizo tangazwa:
- MWALIMU DARAJA LA III C - (MUSIC PERFOMANCE) (RE-ADVERTISED) - 2 POST
- MPISHI DARAJA LA PILI II (COOK II)(RE-ADVERTISED) - 51 POST
- MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II (OFFICE MANAGEMENT SECRETARY II) - 50 POST
- MWALIMU DARAJA LA III C - SOMO LA (GRAPHICS DESIGNING) - 17 POST
- MWALIMU DARAJA LA III C - SOMO LA UTENGENEZAJI WA NGUO (TEXTILE) - 1 POST
- MWALIMU DARAJA LA III B - FASIHI YA KIINGEREZA (ENGLISH LITERATURE) (RE-ADVERTISED) - 5 POST
- MWALIMU DARAJA LA III B (SURVEYING AND BUILDING CONSTRUCTION) - 1 POST
- MWALIMU DARAJA LA III C (ELECTRONICS AND COMMUNICATION ENGINEERING) - 3 POST
- MWALIMU DARAJA LA III B (LEATHER GOODS AND FOOTWEAR PRODUCTION) - 2 POST
- MWALIMU DARAJA LA III B (MANUFACTURING ENGINEERING) - 2 POST
- MWALIMU DARAJA LA III B (CIVIL DRAUGHTING) - 2 POST
- MWALIMU DARAJA LA III B (TECHNICAL DRAWING) - 2 POST
- MWALIMU DARAJA LA III B - (REFRIGERATION AND AIR CONDITIONING)(RE-ADVERTISED) - 8 POST
- MWALIMU DARAJA LA III B - SOMO LA (FOOD PRODUCTION)(RE-ADVERTISED) - 14 POST
- MWALIMU DARAJA LA III C - SOMO LA NISHATI YA JUA (SOLAR POWER INSTALLATION) (RE-ADVERTISED) - 28 POST
- MWALIMU DARAJA LA III B - SOMO LA UMEME WA MAGARI (AUTO ELECTRICAL) (RE-ADVERTISED) - 3 POST
- MWALIMU DARAJA LA III B - SOMO LA UPAKAJI RANGI NA UANDIKAJI MAANDISHI (PAINTING AND SIGN WRITING) (RE-ADVERTISED) - 6 POST
- MWALIMU DARAJA LA III B - SOMO LA HUDUMA YA CHAKULA VINYWAJI NA MAUZO (FOOD AND BEVERAGE, SALES AND SERVICES) (RE-ADVERTISED) - 28 POST
- MWALIMU DARAJA LA III B - SOMO LA USEREMALA (CARPENTRY AND JOINERY)(RE-ADVERTISED) - 33 POST
- MWALIMU DARAJA LA III B - SOMO LA UCHOMELEAJI NA UTENGENEZAJI WA VYUMA (WELDING AND METAL FABRICATION)(RE-ADVERTISED) - 13 POST
- MWALIMU DARAJA LA III C - SOMO LA BIASHARA (BUSINESS STUDIES)(RE-ADVERTISED) - 1300 POST
Nafasi za Kazi KPMG Tanzania
Ajira Mpya 2025