Hili hapa tangazo la Nafasi 183 za Kazi Kwa niaba ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inawaalika Watanzania wenye sifa stahiki na uwezo mzuri kujitokeza kuomba nafasi mia moja na themanini na tatu (183) zilizotajwa hapa chini.
Pakua PDF hapa.
Pakua PDF hapa.