Hili hapa tangazo la Nafasi 57 za kazi Ajira Portal Kwa niaba ya Water Institute (WI), Tanzania Institute of Accountancy (TIA), Tanzania Library Services Board (TLSB), Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), na Ardhi Institute Morogoro (ARIMO), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inakaribisha Watanzania wenye sifa na uwezo kuomba nafasi 57 za kazi zilizo wazi kama zilivyoorodheshwa hapa chini.
Pakua PDF
Pakua PDF
Attachments