NAFASI ZA AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA II (COMMUNITY DEVELOPMENT OFFICER GRADE II) MDAs & LGAs

NAFASI ZA AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA II (COMMUNITY DEVELOPMENT OFFICER GRADE II) MDAs & LGAs Ajira mpya 5

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi za Afisa Maendeleo ya Jamii daraja la Pili (Community Development Officer II) kutoka MDAs & LGAs zilizo tangazwa kupitia Sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma (Ajira Portal).
NAFASI ZA AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA II (COMMUNITY DEVELOPMENT OFFICER GRADE II) MDAs & LGAs

Kuajiriwa wahitimu wa Shahada au Stashahada ya Juu ya Maendeleo ya Jamii kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali waliojiimarisha katika moja ya fani zifuatazo:- Maendeleo ya Jamii (Community Development), Elimu ya Jamii (Sociology), Masomo ya Maendeleo (Development Studies), Mipango na Usimamizi wa Miradi na Menejimenti (Project Planning and Management) au Jinsia na Maendeleo (Gender and Development).

Bonyeza hapa kutuma maombi sasa
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom