Nafasi za Afisa Muuguzi Msaidizi Daraja la II - TGHS B | Ajira Mpya Kada ya Afya December 2024

Nafasi za Afisa Muuguzi Msaidizi Daraja la II - TGHS B | Ajira Mpya Kada ya Afya December 2024

GiftVerified member

Administrator

Staff member
Reputation: 88%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
612
Hizi hapa Nafasi za Afisa Muuguzi Msaidizi Daraja la II - TGHS B | Ajira Mpya Kada ya Afya December 2024 zilizo tangazwa na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa kushirikiana na Wizara ya afya inaendelea na utekelezaji wa mpango wa uwekezaji katika afya ya mama na mtoto nchini Tanzania yaani Tanzania Maternal and Child Health Investment Program (TMCHIP) unaofadhiliwa na Benki ya Dunia,

Afisa Muuguzi Msaidizi Daraja la II - TGHS B

Sifa za Waombaji:
Waombaji wanatakiwa kuwa na:
Nafasi za Afisa Muuguzi Msaidizi Daraja la II - TGHS B | Ajira Mpya Kada ya Afya December 2024

  1. Stashahada ya Uuguzi
    • Diploma kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
    • Wawe wametolewa usajili na Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (Tanzania Nurse and Midwifery Council).
  2. Leseni Hai
    • Leseni ya utendaji kutoka Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (Tanzania Nurse and Midwifery Council).
Maelezo ya Ziada:
Waombaji wanashauriwa kuhakikisha wanakamilisha mahitaji yote kabla ya kutuma maombi yao.
 
Back
Top Bottom