Nafasi za Mteknolojia (Dawa) Daraja la II - TGHS B | Ajira Mpya Kada ya Afya December 2024

Nafasi za Mteknolojia (Dawa) Daraja la II - TGHS B | Ajira Mpya Kada ya Afya December 2024

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,733
Hizi hapa Nafasi za Mteknolojia (Dawa) Daraja la II - TGHS B | Ajira Mpya Kada ya Afya December 2024 zilizo tangazwa na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa kushirikiana na Wizara ya afya inaendelea na utekelezaji wa mpango wa uwekezaji katika afya ya mama na mtoto nchini Tanzania yaani Tanzania Maternal and Child Health Investment Program (TMCHIP) unaofadhiliwa na Benki ya Dunia,

Mteknolojia (Dawa) Daraja la II - TGHS B

Sifa za Waombaji:
Waombaji wanatakiwa kuwa na:
  1. Stashahada katika Fani ya Uteknolojia ya Dawa
    • Stashahada ya muda wa miaka mitatu kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
  2. Usajili Rasmi
    • Usajili na Baraza la Wafamasia.
Nafasi za Mteknolojia (Dawa) Daraja la II - TGHS B | Ajira Mpya Kada ya Afya December 2024

Maelezo ya Ziada:
Waombaji wanashauriwa kuhakikisha wanakamilisha mahitaji yote kabla ya kutuma maombi yao.
Tuma maombi hapa
 
Back
Top Bottom