Nafasi za Ajira 400 za Mkataba kwa Kada za Afya December 2024/2025 | Ajira Mpya Tamisemi 2024

Nafasi za Ajira 400 za Mkataba kwa Kada za Afya December 2024/2025 | Ajira Mpya Tamisemi 2024

GiftVerified member

Administrator

Staff member
Reputation: 88%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
607
Hizi hapa Nafasi za Ajira 400 za Mkataba kwa Kada za Afya December 2024/2025 | Ajira Mpya Tamisemi 2024. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa kushirikiana na Wizara ya afya inaendelea na utekelezaji wa mpango wa uwekezaji katika afya ya mama na mtoto nchini Tanzania yaani Tanzania Maternal and Child Health Investment Program (TMCHIP) unaofadhiliwa na Benki ya Dunia,

Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa inawatangazia wananchi wote raia wa Tanzania wenye uwezo na sifa za kujaza nafasi za ajira za 400 za Mkataba kwa Kada za Afya watakaofanya kazi katika Halmashauri mbalimbali hapa nchini.

Hivyo, wahitimu kutoka kwenye Vyuo vya Elimu ya Juu na Vyuo vya Afya vinavyotambuliwa na Serikali wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kuanzia tarehe 6 - 20, Desemba, 2024. Nafasi za ajira zilizopo ni kwa wahitimu wa Astashahada (Certificate), Stashahada (Diploma) na Shahada (Degree)
Nafasi za Ajira 400 za Mkataba kwa Kada za Afya | Ajira Mpya Tamisemi 2024

TANGAZO LA AJIRA ZA MKATABA KADA ZA AFYA TAMISEMI DECEMBER 2024
Pakua PDF hapa chini.
 

Attachments

Last edited:
Hizi links za kazi katika platforms ya wananchi zinafunguka vipi mpaka kufika kwenye taarifa husika na kuweza ku submit Documents husika? Naomba kufahamu tafadhali
 
Back
Top Bottom