- Views: 35K
- Replies: 1
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi na ajira mpya 2025 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa mamlaka aliyopewa kwa mujibu wa kifungu cha 14(4) cha Sheria ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Sura ya 427, kikisomwa pamoja na Kanuni ya 5(1) ya Kanuni za Utumishi za Jeshi la Zimamoto na Uokoaji za mwaka 2008, anatangaza nafasi za ajira ngazi ya Konstebo wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa vijana wenye sifa zifuatazo:
b) Awe na cheti cha kuzaliwa
c) Awe na Kitambulisho cha Taifa au namba ya Utambulisho iliyotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho (NIDA)
d) Awe na afya njema kimwili na kiakili
e) Asiwe na Kumbukumbu ya Uhalifu
f) Awe hajaoa au kuolewa
g) Asiwe na alama za kuchora mwilini (tattoo)
h) Awe hajawahi kutumia aina yoyote ya madawa ya kulevya
i) Awe tayari kuhudhuria mafunzo ya awali ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
j) Awe hajawahi kushtakiwa mahakamani
k) Awe na urefu usiopungua futi 5.7 kwa wanaume na futi 5.4 kwa wanawake
l) Awe tayari kufanya kazi katika halmashauri yoyote baada ya usaili endapo ataitwa
m) Umri kuanzia miaka 18 hadi 25
b) Umri kuanzia miaka 18 hadi 28
a) Sifa zote zilizoainishwa kwenye Aya ya 1 (a hadi l)
b) Barubaru wa Helikopta umri kuanzia miaka 18 hadi 35
c) Madereva, awe na leseni daraja E na umri kuanzia miaka 18 hadi 28 (watakaoliwa kwenye Usaili watafanyiwa uhakiki kwa njia ya vitendo, kuendesha magari makubwa)
Mwombaji anapaswa kuambatanisha nyaraka zifuatazo:
a) Barua ya maombi iliyoandikwa kwa mkono
b) Nakala ya cheti cha kuzaliwa
c) Fomu ya uthibitisho wa sifa na jina kutoka kwa mganga wa serikali
d) Nakala ya Kitambulisho cha Taifa au namba ya NIDA
e) Picha ya Pasipoti ya hivi karibuni
f) Namba ya mtihani wa Kidato cha Nne
b) Barua zitakazowasilishwa kwa njia ya posta, mkono au kwa barua pepe hazitapokelewa
c) Waombaji wote waandike namba za simu kwenye barua zao za maombi
d) Mwombaji atakayewasilisha nyaraka za kughushi au taarifa za uongo atachukuliwa hatua za kisheria
Imetolewa na:
John W. Masunga
KAMISHNA JENERALI
JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI
Wenye elimu ya kidato cha Nne
Sifa za mwombaji:
a) Awe raia wa Tanzania kwa kuzaliwab) Awe na cheti cha kuzaliwa
c) Awe na Kitambulisho cha Taifa au namba ya Utambulisho iliyotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho (NIDA)
d) Awe na afya njema kimwili na kiakili
e) Asiwe na Kumbukumbu ya Uhalifu
f) Awe hajaoa au kuolewa
g) Asiwe na alama za kuchora mwilini (tattoo)
h) Awe hajawahi kutumia aina yoyote ya madawa ya kulevya
i) Awe tayari kuhudhuria mafunzo ya awali ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
j) Awe hajawahi kushtakiwa mahakamani
k) Awe na urefu usiopungua futi 5.7 kwa wanaume na futi 5.4 kwa wanawake
l) Awe tayari kufanya kazi katika halmashauri yoyote baada ya usaili endapo ataitwa
m) Umri kuanzia miaka 18 hadi 25
Wenye Shahada
Fani zinazohitajika ni:- Uhandisi Bahari (Marine Engineering)
- TEHAMA
- Uhandisi wa Ndege (Aircraft Maintenance Engineers)
- Lugha (Kiingereza)
- Ukadiriaji Majenzi (QS)
- Teknolojia ya Habari (Multi-media Technology)
- Uchumi
- Sheria (waliohitimu shule ya sheria kwa vitendo)
- Ualimu (Education Management)
- Usafirishaji Barabara na Reli (Road & Railways Transport Logistics Management)
- Uhandisi Kemikali (Chemical Processing Engineering)
Sifa za mwombaji:
a) Sifa zote zilizoainishwa kwenye Aya ya 1 (a hadi l)b) Umri kuanzia miaka 18 hadi 28
Wenye vyeti vya ufundi
Sifa za mwombaji:a) Sifa zote zilizoainishwa kwenye Aya ya 1 (a hadi l)
b) Barubaru wa Helikopta umri kuanzia miaka 18 hadi 35
c) Madereva, awe na leseni daraja E na umri kuanzia miaka 18 hadi 28 (watakaoliwa kwenye Usaili watafanyiwa uhakiki kwa njia ya vitendo, kuendesha magari makubwa)
Namna ya kufanya maombi
Maombi yote yawasilishwe kupitia mfumo wa ajira wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji unaopatikana kupitia kiungo cha ajira.zimamoto.go.tz mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 28 Februari, 2025.Mwombaji anapaswa kuambatanisha nyaraka zifuatazo:
a) Barua ya maombi iliyoandikwa kwa mkono
b) Nakala ya cheti cha kuzaliwa
c) Fomu ya uthibitisho wa sifa na jina kutoka kwa mganga wa serikali
d) Nakala ya Kitambulisho cha Taifa au namba ya NIDA
e) Picha ya Pasipoti ya hivi karibuni
f) Namba ya mtihani wa Kidato cha Nne
NB:
a) Nakala za vyeti zithibitishwe na Kamishna wa viapo au Hakimub) Barua zitakazowasilishwa kwa njia ya posta, mkono au kwa barua pepe hazitapokelewa
c) Waombaji wote waandike namba za simu kwenye barua zao za maombi
d) Mwombaji atakayewasilisha nyaraka za kughushi au taarifa za uongo atachukuliwa hatua za kisheria
Imetolewa na:
John W. Masunga
KAMISHNA JENERALI
JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI
Nafasi za Ajira Mwananchi
Ajira Mpya 2025
Attachments