- Views: 3K
- Replies: 2
Tunatoa programu ya mafunzo kwa vitendo Internship ya miezi 6 katika Idara ya Mauzo na Masoko, ikijikita zaidi kwenye jukumu la Lead Generators. Wanafunzi watatakiwa kutafuta na kupata wateja wanaofaa katika wilaya walizopewa ndani ya Dar es Salaam.
Wakati wa programu, wanafunzi watapewa posho ya usafiri kila wiki. Wale watakaofanya vizuri sana katika programu hii watapata nafasi ya kuajiriwa katika Idara ya Mauzo na Masoko baada ya mafunzo.
Pakua PDF hapo chini kutuma maombi.

Nafasi za Kazi Dnata Tanzania
Ajira Mpya 2025
Nafasi za Kazi Keboguard Security Tanzania
Ajira Mpya 2025
Attachments