Nafasi za kazi 103 Utumishi NLUPC, Wizara ya Ardhi, Wizara ya Mifugo na Uvuvi December 2024

Nafasi za kazi 103 Utumishi NLUPC, Wizara ya Ardhi, Wizara ya Mifugo na Uvuvi December 2024

GiftVerified member

Administrator

Staff member
Reputation: 88%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
613
Hizi hapa Nafasi za kazi Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi (NLUPC), Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Wizara ya Mifugo na Uvuvi anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi miamoja na tatu (103) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.

Nafasi za kazi Utumishi​

Nafasi za kazi 103 Utumishi NLUPC, Wizara ya Ardhi, Wizara ya Mifugo na Uvuvi December 2024

Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 17 Desemba, 2024. Muhimu: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu. anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa; KATIBU, OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA S.L.P. 2320 DODOMA.
PDF hapo chini, Kama una swali tafadhali uliza na litajibiwa.
 
Attachments

Back
Top Bottom