Wananchi, Hizi hapa Nafasi za kazi 41 Benki Kuu ya Tanzania Ajira Mpya BOT December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye siffa, nia, ari na vigezo vyote waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo.
Benki Kuu ya Tanzania, kama mwajiri anayetoa nafasi sawa kwa wote, inatafuta Watanzania wenye sifa zinazostahili na uadilifu wa hali ya juu ili kujaza nafasi mbalimbali zilizo wazi. Waliofanikiwa wataweza kupangiwa kufanya kazi katika ofisi kuu Dodoma, ofisi ndogo za Dar es Salaam na Zanzibar, au matawi ya Arusha, Mbeya, Mtwara, Mwanza, na pia Chuo cha BOT kilichopo Mwanza.
Ajira mpya BOT
Benki Kuu ya Tanzania, ambayo ni Benki Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ilianzishwa kupitia Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 1965 na ilianza rasmi kazi tarehe 14 Juni 1966. Lengo kuu la benki hii ni kuhakikisha uthabiti wa uchumi na kuboresha mfumo wa kifedha ili kuendeleza hadhi ya taifa kuwa la kipato cha kati na zaidi.Benki Kuu ya Tanzania, kama mwajiri anayetoa nafasi sawa kwa wote, inatafuta Watanzania wenye sifa zinazostahili na uadilifu wa hali ya juu ili kujaza nafasi mbalimbali zilizo wazi. Waliofanikiwa wataweza kupangiwa kufanya kazi katika ofisi kuu Dodoma, ofisi ndogo za Dar es Salaam na Zanzibar, au matawi ya Arusha, Mbeya, Mtwara, Mwanza, na pia Chuo cha BOT kilichopo Mwanza.
Nafasi za kazi BOT
Pakua PDF hapa chini kama utakuwa na swali uliza.Attachments