Nafasi za kazi 465 MDAs & LGAs

Nafasi za kazi 465 MDAs & LGAs Ajira portal Januari

Leo kutoka Ajira Portal, Katibu wa Sekretarieti yaAjira Katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Wizara, Idara zinazo jitegemea, Wakala za Serikali, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (MDAs & LGAs) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi Mia nne sitini na tano (465) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.
Nafasi za kazi 465 MDAs & LGAs

Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 20 Januari, 2025

MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamojana vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa;
KATIBU,
OFISI YA RAIS,
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA,
S. L. P. 2320, DODOMA.

Pakua PDF hapo chini
 

Attachments

Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom