Nafasi za kazi 60 Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya Disemba 2024

Nafasi za kazi 60 Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya Disemba 2024

SiaVerified member

Administrator

Staff member
Reputation: 22%
Joined
Oct 20, 2024
Messages
181
Nafasi za kazi 60 Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya linamiliki na kuendesha taasisi za Afya katika Mikoa ya Mbeya na Songwe. Jimbo linayo furaha kutangaza nafasi za kazi kwa watanzania wote wenye sifa stahiki zilizoanishwa hapa chini watakao fanya kazi katika Vituo vifuatavyo: Kituo cha Afya Chitete, Kituo cha Afya Kisa, Zahanati za Bara na Songwe.

Sifa za Jumla kwa Waombaji​

1. Awe ni Mtanzania
2. Asiwe mwajiriwa wa serikali
3. Awe na nakala ya vyeti vya Sekondari na Taaluma na vinavyotambuliwa
na Serikali na kwa wale wenye leseni, leseni hai inayotambuliwa na
mamlaka husika na kuwa tayari kuwasilisha nakala halisi wakati wa usaili.
4. Aambatanishe nakala wasifu wake (CV), cheti cha kuzaliwa.
Nafasi za kazi 60 Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya Disemba 2024

Maombi yote yatumwe kwa:

KATIBU WA AFYA JIMBO
JIMBO KUU KATOLIKI LA MBEYA
S. L.P 179
MBEYA
Barua pepe: jkalindu@yahoo.com
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 20/12/2024 saa 5.59 usiku.

Pakua PDF hapa chini.
 

Attachments

Back
Top Bottom