CEFA (The European Committee for Training and Agriculture) ni Shirika la Kitaliano lisilo la kiserikali lililoanzishwa mwaka 1972. Shirika hili linafanya kazi katika nchi 10 barani Afrika, Amerika ya Kusini, na Ulaya Mashariki. CEFA inajihusisha na miradi ya muda wa kati na muda mrefu kwenye sekta za kilimo, mazingira, na haki za binadamu. Lengo lao ni kukuza maendeleo endelevu ya jamii kwa kushirikiana na wadau wa ndani na kuhakikisha walengwa wanashiriki kikamilifu katika miradi yao.
Nafasi za Kazi Mapinga
Ajira Mpya 2025
Nafasi za Kazi Aga Khan Health Service, Tanzania (AKHST)
Ajira Mpya 2025
Attachments