Hizi hapa Nafasi za kazi Derm Group, Zilizotangazwa hivi karibuni kwa watanzania wote wenye sifa na ari, tuma maombi mapema, Derm Group (T) LTD ni kampuni ya Kitanzania inayojulikana kwa utaalamu wake katika nyanja za umeme, mawasiliano ya simu, HVAC, na ICT. Kwa kawaida, maombi hutumwa kupitia barua pepe iliyotolewa kwenye tangazo la kazi husika. Hakikisha unazingatia tarehe za mwisho za kutuma maombi na ufuate maelekezo yote yaliyotolewa katika tangazo la kazi hili.
Nafasi za kazi Azam tv
Ajira Mpya 2025
Nafasi za kazi SAMEKAYA SACCOS LTD
Ajira Mpya 2025
Attachments
Last edited: