Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Maswa 04-04-2026

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi kumi na nne (14) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:-

Pakua PDF hapa
Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom