Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi anapenda kuwatangaziaWatanzania wote wenye sifa kuomba Ajira ya Mwandishi Mwendesha Ofisi daraja la II.Tangazo hili ni baada ya kupokea Kibali cha Ajira Mbadala chenye Kumb. Na.FA.228/613/01/C/067 cha tarehe 12/06/2024 toka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimentiya Utumishi wa Umma na Utawala bora.Mchanganuo wa nafasi ni kama ifuatavyo:-
Nafasi 5 za kazi Airtel Tanzania
Ajira Mpya 2025
Nafasi za Internship Malkia wa Nguvu
Ajira Mpya 2025
Attachments