Nafasi za kazi Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

Nafasi za kazi Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Ajira Mpya 2025

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi anapenda kuwatangaziaWatanzania wote wenye sifa kuomba Ajira ya Mwandishi Mwendesha Ofisi daraja la II.Tangazo hili ni baada ya kupokea Kibali cha Ajira Mbadala chenye Kumb. Na.FA.228/613/01/C/067 cha tarehe 12/06/2024 toka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimentiya Utumishi wa Umma na Utawala bora.Mchanganuo wa nafasi ni kama ifuatavyo:-
nafasi za kazi moshi.webp
 

Download PDF

Similar content Most view View more
Back
Top Bottom