Nafasi za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha – Mount Meru

Nafasi za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha – Mount Meru Ajira Mpya 2025

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi.
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha – Mount Meru Tanzania kwa watanzania wote wenye nia, ari, sifa, vigezo waweze kutuma maombi kujaza ajira mpya hizi 6 zilizo tangazwa siku ya leo.

Ajira zilizo tangazwa​

1. Daktari Bingwa Daraja la II - Usingizi - Nafasi 2
2. Daktari Bingwa Daraja la II - Afya ya Akili
3. Daktari Bingwa Daraja la II - Macho
4. Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II - Afya - Nafasi 3
Nafasi za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha – Mount Meru

Daktari Bingwa Daraja la II - Afya ya Akili

Daktari Bingwa Daraja la II - Macho

Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II - Afya
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom