Nafasi za kazi ICGLR Utumishi December 2024

Nafasi za kazi ICGLR Utumishi December 2024

GiftVerified member

Administrator

Staff member
Reputation: 88%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
607
Wananchi, Hizi hapa Nafasi za kazi ICGLR Utumishi December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye siffa, nia, ari na vigezo vyote waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo.
Nafasi za kazi ICGLR Utumishi December 2024

Kwa niaba ya Sekretarieti ya Mkutano wa Kimataifa wa Kanda ya Maziwa Makuu (ICGLR), Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (PO-PSMGG) inakaribisha Watanzania wenye sifa stahiki na walio na ari ya kufanya kazi kujaza nafasi tatu (3) zifuatazo:

Ajira zilizo tangazwa​

  1. Mkurugenzi wa Programu, Amani na Usalama
  2. Mkurugenzi wa Programu, Maendeleo ya Kiuchumi na Uunganikaji wa Kanda
  3. Mshauri wa Sheria
Maombi yanakaribishwa kutoka kwa watu wenye ujuzi, maarifa, na sifa zinazohitajika.
 

Attachments

Back
Top Bottom