Nafasi za Kazi Jeshi la Zimamoto Tanzania

Nafasi za Kazi Jeshi la Zimamoto Tanzania 19-11-2025

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Jeshi la Zimamoto Tanzania ajira mpya 2025 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa mamlaka aliyopewa kwa mujibu wa kifungu cha 14(4) cha Sheria ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Sura ya 427, kikisomwa pamoja na Kanuni ya 5(1) ya Kanuni za Utumishi za Jeshi la Zimamoto na Uokoaji za mwaka 2008, anatangaza nafasi za ajira ngazi ya Konstebo wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa vijana wenye sifa zifuatazo:

Pakua PDF hapo chini

Tuma maombi hapa.

Nafasi za Kazi Jeshi la Zimamoto Tanzania
 

Download PDF

Last edited:
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom