Nafasi za Kazi JWTZ Jeshi la Wananchi Tanzania

Nafasi za Kazi JWTZ Jeshi la Wananchi Tanzania 30.04.2025

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi JWTZ Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) linatangaza nafasi za kuandikishwa jeshini kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu kuanzia elimu ya Sekondari hadi elimu ya Juu. Aidha, uandikishaji utahusisha vijana wa Kitanzania wenye Taaluma Adimu.
Nafasi za Kazi JWTZ Jeshi la Wananchi Tanzania

Wataalamu hao watakaoandikishwa jeshini watapatiwa mafunzo mbalimbali ndani ya Kijeshi na mafunzo ya kuwaendeleza katika taaluma zao.

Taaluma adimu zinazohitajika​

a. Taaluma ya Tiba​

(1) Medical Doctor (Specialist)
  • General Surgeon
  • Orthopaedic Surgeon
  • Urologist
  • Radiologist
  • ENT Specialist
  • Anaesthesiologist
  • Physician
  • Ophthalmologist
  • Paediatrician
  • Obstetrician & Gynaecologist
  • Oncologist
  • Pathologist
  • Psychiatrist
  • Emergency Medicine Specialist
  • Haematologist
  • Medical Doctor
  • Dental Doctor
  • Veterinary Medicine
  • Bio Medical Engineer
  • Dental Laboratory Technician
  • Anaesthetic
  • Radiographer
  • Optometry
  • Physiotherapy
  • Aviation Doctor

b. Taaluma za Uhandisi (Engineer)​

  • Bachelor of Electronic Engineering
  • Bachelor of Mechanical Engineering
  • Bachelor in Marine Engineering
  • Bachelor in Marine Transportation and Nautical Science
  • Bachelor in Mechanics in Marine Diesel Engine
  • Bachelor in Aviation Management
  • Bachelor in Aircraft Accident and Incident Investigation
  • Bachelor in Meteorology
  • Air Traffic Management
  • Aeronautic Engineering

c. Fundi Mchundo​

  • Aluminium Welding na Welding and Metal Fabrication
PAKUA PDF HAPA
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom