Nafasi za kazi Kiwanda cha Vigae Goodwill (Tanzania) Ceramics December 2024

Nafasi za kazi Kiwanda cha Vigae Goodwill (Tanzania) Ceramics December 2024

GiftVerified member

Administrator

Staff member
Reputation: 87%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
603
Hizi hapa Nafasi za kazi Kiwanda cha Vigae Goodwill (Tanzania) Ceramics December 2024 ni kampuni inayoongoza kwa utengenezaji wa vigae vya kisasa, yenye makao yake Mkuranga, Tanzania. Tangu ilipoanzishwa mwaka 2015, kampuni hii imepiga hatua kubwa kwenye sekta ya ujenzi, ikiwa imewekeza zaidi ya dola milioni 50 na kuzalisha zaidi ya mita za mraba 80,000 za vigae kila siku.
Nafasi za kazi Kiwanda cha Vigae Goodwill (Tanzania) Ceramics December 2024

Kampuni hii inaendelea kukua kwa kasi na sasa inatoa fursa za ajira kwa watu wenye vipaji kujiunga na timu yao yenye ari na ubunifu. Kama unatafuta nafasi ya kazi katika mazingira yenye changamoto na yanayolenga maendeleo, Goodwill Ceramics ni mahali sahihi kwako! 🌟
 

Attachments

Kwan izi nafasi za uhamiaji inahtaji kuanzia division ngap kwa o-level
 
Back
Top Bottom