Nafasi za Kazi Kutoka Shirika la Aqua-Farms (AFO) Novemba 2024 | Ajira Mpya za Mashirika

Nafasi za Kazi Kutoka Shirika la Aqua-Farms (AFO) Novemba 2024 | Ajira Mpya za Mashirika 20241109

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,745
Gift submitted a new resource:

Nafasi za Kazi Kutoka Shirika la Aqua-Farms (AFO) Novemba 2024 | Ajira Mpya za Mashirika - Tangazo la Nafasi za Kazi Kutoka Shirika la Aqua-Farms (AFO) Novemba 2024 | Ajira Mpya za Mashirika

Hizi hapa Nafasi za Kazi Kutoka Shirika la Aqua-Farms (AFO) Novemba 2024 | Ajira Mpya za Mashirika zilizo tangazwa kwa siku ya leo kwa watanzania wote waweze kutuma maombi kuanzia sasa.

Shirika la Aqua-Farms (AFO) ni Shirika lisilo la Kiserikali lililosajiliwa chini ya Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ya mwaka 2002 nchini Tanzania, likiwa na namba ya usajili ooNGO/0009297. Aqua-Farms lilianzishwa mwaka 2016 na kusajiliwa rasmi tarehe 6 Julai 2017. Lengo kuu la shirika hili ni...

Read more about this resource...
 
Back
Top Bottom