Hili hapa tangazo la nafasi za kazi COPRA Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko(COPRA)anawatangazia watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi ya udereva kutumamaombi yakazi kwa nafasi kumi na nne (14) za kuajiri madereva kwa mkataba.
Tuma maombi hapa.
Tuma maombi hapa.
Ajira Portal News
Leo 2025
Nafasi za Ajira ya Mkataba Madereva COPRA
15-05-2025