Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi MO Finance Corporation Tanzania kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo 22/04/2025 kujaza ajira mppya hizi hapa chini.
MO Finance Corporation Ltd inatoa aina mbalimbali za mikopo, ikiwemo mikopo ya mtu binafsi kwa ajili ya kununua mali, mikopo ya vikundi vya Bodaboda kwa ajili ya mali, mikopo ya vikundi vya kuweka na kukopa (solidarity groups), mikopo kwa wajasiriamali wadogo na wa kati (SMEs), mikopo ya kulipia bima, mikopo kwa wafanyakazi waajiriwa, pamoja na mikopo kwa ajili ya watumishi wa kampuni.
Tuma maombi hapa.
www.makeyourmove.co.tz

Nafasi za Kazi Royal Soap and Detergent
22-04-2025
Nafasi za Kazi Idea Grow Idea Tanzania
22-04-2025